PICHA: MTAZAME "PASTOR" HUYU AKIMWOMBEA MUUMINI HUKU AKIM..... Ni laana

By Unknown - Friday, 16 May 2014 No Comments
Katika hali isiyo tegemewa, pastor mmoja nchini Nigeria ajikuta katika kashifa ya aina yake baada ya kufumwa akimwombea muumini kwa kumtomasa maziwa. Pastor huyo ambaye ni mkubwa ki-umri amekumbwa na kashifa hiyo baada ya kujaribu kumwombea muumini huyo na kuanza kumtomasa maziwa kwa madai ya kuwa yanahusika pia katika magonjwa yanayomsumbua muumini huyo.
Eee Mungu, tuponye sisi waja wako na utuepushe na ushetani unaotutawala hivi sasa. Andika ameni.

Credit: Dimita.

No Comment to " PICHA: MTAZAME "PASTOR" HUYU AKIMWOMBEA MUUMINI HUKU AKIM..... Ni laana "