Taarifa kutoka Kenya ambazo zimetoka muda huu ni kwamba milipuko miwili imetokea karibu na Soko kubwa la nguo la Gikomba mjini Nairobi.
Watu kadhaa wameripotiwa kujeruhiwa na kuna hofu ya watu wengine kupoteza maisha yao hadi sasa
Milipuko ya leo imetokea siku moja baada ya Uingereza kutoa onyo kwa raia wake wanaoishi nchini humo kurejea makwao kwa hofu ya usalama na pia baada ya tahadhari kutolewa ya kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi nchini humo.
Gikombaa ni soko kubwa la kuuza nguo ambalo linapakana na mtaa wa Eastleigh ambako wasomali wengi wanaishi na kufanya kazi.
Endelea kufatilia ili upate taarifa zaidi
No Comment to " Breaking:Milipuko mingine yalipuka Kenya. "