Madaktari wa watoto wanasema mara nyingi watoto wanapoanguka kwenye umbali kama huu huwa hawaponi na hata wakibakiwa na uhai bado akili zao zinakua zimepata majeraha kwa kiasi kikubwa.
Pamoja na hiyo sentensi ya Madaktari, mtoto Musa Dayib mwenye umri wa mwaka mmoja ameanguka kutoka kwenye kibaraza cha gorofa ya 11 huko Minneapolis Marekani lakini amebakiwa na uhai wake japo hali yake sio nzuri na anapumua kwa msaada wa mashine.
Amevunjika mikono, mgongoni ambapo daktari mwingine wa watoto amesema Watoto wako flexible na huwa hawavunjiki hawaumii haraka kama watu wazima.
Toa maoni hapa chini.
No Comment to " PICHA: Huyu ndie mtoto alieanguka kwenye hili gorofa la 11, lakini anapumua bado. Litazame gorofa kisha mtazame na mtoto. Mungu mkubwa sana aisee "