Mwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashindano ya muziki barani Ulaya yaitwayo Eurovision Song Contest ambayo yalikua na watazamaji wa TV zaidi ya milioni 120.
-
PrevoiusMagazetini ya Tanzania Leo May 13 2014; Pitia hapa.
-
NextTazama Picha 7 za aina ya taa zinazotumika kuongozea magari Kinshasa Congo DRC. Na sisi je? Kutoka Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo, mji wa Kinshasa una wakazi zaidi ya milioni kumi sawa na mara mbili ya Dar es salaam ambapo ili kuondoa msongamano na kuepusha zile ajali ndogondogo za mara kwa mara uongozi wa jiji hilo umeamua kuweka aina hii ya taa za barabarani.
No Comment to " KAMA UNAJUA KUSHANGAA, HAPA PATAKUFAA: Huyu ndiye Mwanamke mwenye ndevu alietangazwa mshindi. Tazama picha hapa. "