Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo.
Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma. SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA
PICHA: MAKALIO YA MCHINA YAMTOKEA PABAYA DADA HUYU. ABABUKA MAKALIO KAMA KIAZI CHA KUCHOMA...Tazama hapa.
By Unknown
-
Tuesday, 13 May 2014
No Comments
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No Comment to " PICHA: MAKALIO YA MCHINA YAMTOKEA PABAYA DADA HUYU. ABABUKA MAKALIO KAMA KIAZI CHA KUCHOMA...Tazama hapa. "