.

PHOTOS: HIKI NDICHO KILICHOJILI KATIKA AJALI YA BUS LA PRINCE MURO ILIYOTOKE LEO.

By Unknown - Thursday, 8 May 2014 No Comments
Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro Leo.

BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha

No Comment to " PHOTOS: HIKI NDICHO KILICHOJILI KATIKA AJALI YA BUS LA PRINCE MURO ILIYOTOKE LEO. "

­