.
Mastaa kutoka katika kona zote za dunia wameungana na kampein ya  #BringBackOurGirls ambayo inasistiza juu ya kurejeshwa kwa wasichana wa shule zaidi ya 200 kutoka Nigeria

"First lady" wa   "United States" amejiunga na kampeni hiyo na wengine wengi akiwemo  Chris Brown, Mary J Blige, 2Face na Keri Hilsonkuonyesha ushikamano na ushirikiano juu ya janga hilo.
Bofya hapa kutazama picha zao
kisha ANDIKA neno #BRINGBACKOURGIRLS kama nawe ungependa warudishwe.

No Comment to " MICHELLE OBAMA, CHRIS BROWN, TWO FACE NA MASTAA DUNIANI KUJIUNGA NA #BRINGBACKOURGIRLS CAMPAIGN, Tazama yanayojili hapa "

­