Anne Kinsiime, amekuwa kichekesho cha aina yake hivi karibuni na kujizolea umaarufu nchini mwake, East Africa, na hata dunia kwa ujumla. Ni binti ambae anauwezo wa kukitumia vyema kipaji chake. Leo katika website yetu ya bongozmixed24.com tumekuletea kichekesho babkubwa kutoka kwa nguli huyu. Tazama hapa chini ucheke kidogo.
Toa maoni yako hapo chini umemwonaje huyu mrembo kituko.
No Comment to " VIDEO: SNITCH!!!! CHEKA KIDOGO NA KANSIIME ANNE KTK "THE BETRAYAL" Tehteh, Ni Rhaaaa. "