Hatimae ule wimbo wa Michael Jackson uliotoka hivi karibuni akiwa amemshirikisha Justine Timberale, unaokwenda kwa jina la "LOVE NEVER FELT SO GOOD" umetolewa shuting yake. Ni swala ambalo liliwashangaza wengi na wakajiuliza inakuwaje mtu kafariki miaka kadhaa nyuma akatoa wimbo. Sasa hicho cha mtoto, hebu jionee hapa je amewezaje kutoa video ya wimbo huo hali akiwa hayupo dunian?
Pata majibu ya maswali yako hapo chini.
Pata majibu ya maswali yako hapo chini.
No Comment to " VIDEO: MICHAEL JACKSON FT JUSTINE TIMBERLAKE-LOVER NEVER FELT SO GOO. PATA KUSHANGAA VIDEO HII YA MTU ASIYEKUWEPO DUNIANI ILIYOTOKA JANA. "