.
Ni moja ya vile vitu ambavyo ndio unakutana navyo kwa mara ya kwanza kwenye maisha yako, vitu vinavyoweza kukufanya ubishe mpaka mwisho kwa sababu uwezekano huo hauuoni…. labda mtu angekwambia kuna Tembo wanacheza muziki ungekataa ila kwa sababu kuna video yao hapa, shuhudia mwenyewe.

No Comment to " VIDEO: MAAJABU YA DUNIA; SHUHUDIA Tembo wanaocheza Disco, wanacheza gangnam styl, Full mauno. Huwezi amini aisee. "

­