Wanafunzi wa Kidato cha Nne,
watafanya mitihani miwili ya taifa ya
Taifa mwaka huu, baada ya kuongezwa mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN),
ambao utatumika kuwapima walivyojiandaa na Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu
ya Sekondari.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No Comment to " MTIHANI MPYA KIDATO CHA NNE "