Wapenzi wa movie za X Men wiki hii ni yenu kwasababu movie mpya imetoka na hii imepewa jina la Days of future past.
Cheki trailer yake na pia kama una-plan ya kwenda kuangalia movie weekend hii, unaweza kucheki ratiba nzima ya movie nyingine hapa.

3
24
5
6

No Comment to " MOVIE: X Men ‘Days of future past’ kuanza kuonyeshwa May 23, cheki na ratiba ya movie za wiki hii. Jipange aisee. "