Sio kila anaetazama hii post anao uwezo wa kujenga nyumba za namna hii ila kua uwezekano na nyumba ndogo ya saizi yako ukaweza kuibadilisha kwenye sehemu flani baada ya kutazama mpangilio wa hizi za kisasa kuanzia chumbani, sebuleni, garden, taa zilivyowekwa, jikoni na sehemu nyingine.
Hii nyumba ya kwanza hapa chini ipo Slovakia.
Wakati mwingine sio lazima swimming pool ikae nje, kwa ndani ni nzuri zaidi manake inakua imefungiwa kama kwenye chumba hivyo hata watoto hawawezi kufika.
Kama umependa fanya kutoa comment ili kumpa shavu Milladayo azidi kutupia vitu vikali kama hivi.
Credit: Milladiayo.com
No Comment to " Kama we ni mpenzi wa nyumba za kisasa? tazama hizi mbili labda utapata chochote. Check kila korido za nyumba hizo "