.
Mwanza umekuwa ni mji unaoongoza penginge kwa kutoa wasanii wachanga na wenye umri mdogo lakini wakali na wenye uwezo kuliko umri wao pengine. Tulimwona Young Killer, tukagundua ujio wake haukuwa patupu bali ulikuwa na sababu na akawa maarufu ndani ya mda mfupi. Baada ya hapo akaja Dogo D. Mtoto ambaye kimsingi ni mdogo sana ki-umri, lakini mwenye uwezo mkubwa kimziki na aliyethubutu hata kusimama majukwaani na wasanii wa kubwa nchini kama Ney wa Mitego. Sasa hili ni zao lingine tena toka Mwanza, linamengi ya kufikisha katika jamii kupitia muziki. Kimsingi wimbo huu unamengi yenye halisi katika maisha yetu. Fanya ku-download hapa na usikilize radha kisha tupia comment yako hapo chini.

Tags:

No Comment to " Huyu ndie Mdogo Mkali mwingine ktk list ya Killer na Dogo D. Anaitwa Young Rafa Manengo Ft. Solace Sanya - Asante Mwanza. Download hapa "

­